Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kulia) katika Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana na Taasisi za Urekebishaji. Mkutano huo ulioudhuriwa na mawaziri kutoka nchi mbalimbali barani Afrika unafanyika jijini Pretoria, nchini Afrika Kusini.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 comments:
Post a Comment