SMGMkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia) akimwonesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduki iliyokamtwa pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi cha kupambana na  Ujangili  (KDU) cha Kanda ya Kati,  kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi. Meno hayo yalikamatwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.
TOUFIQ (1)Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya Manyoni Mkoani Singida, Fatma Toufiq (kushoto) . Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
Blogger Template