Sipati picha kama kuna mwanamke wa kizungu ambaye ataweza olewa na kwenda shamba  na mume wake  kupalilia mahindi kama wanawake wa kiafrika wanavyo fanaya? je ataweza kweli kupinda mgongo na kuchimba udongo kutengeneza matuta au kpalilia mahindi ?? Ntafurahi kumowana kama yupo wa namna hii.


0 comments:

Post a Comment

 
Top
Blogger Template