Nisaidieni jamani, siku za hivi karibuni nimekuwa na tabia isiyo ya kawaida kwa maana sikuwa nayo kabla. Nimekuwa na kamchezo kaajabu sana, yani nikimwona mwanamke anamakalio makubwa tu kidogo basi mimi huku chini Jogoo anaanza kuvimba mpaka suruali inasimama kabisa , yani inanibidi mpaka nichomolee shati kuzibia. Tatizo litakuwa nini , maana napata aibu jamani, nipo mbele ya watu na mwona mdada ana kawowo kidogo basi kitu kinavimba, naomba msaada waungwani nifanyaje mwenzenu, nisije ambiwa nataka baka bure .


0 comments:

Post a Comment

 
Top
Blogger Template