SASA HAWA MBULURAAZ WAGOMA KUOKOLEWA KWENYE MAFURIKO SIJUI NDO UMBULUUURAZ KUPITILIZA AU...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Uokoaji jana kililazimika kutumia nguvu kuwaokoa wakazi wawili wa Jangwani waliokuwa wamezingirwa na maji, lakini wakigoma kuokolewa
0 comments:
Post a Comment