Sipati picha kama kuna mwanamke wa kizungu ambaye ataweza olewa na kwenda shamba na mume wake kupalilia mahindi kama wanawake wa kiafrika wanavyo fanaya? je ataweza kweli kupinda mgongo na kuchimba udongo kutengeneza matuta au kpalilia mahindi ?? Ntafurahi kumowana kama yupo wa namna hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment