Watu wengi Tanzani ni mafukara ni kutokana na uvivu, wengi wanapenda maisha mazuri bila kufanya kazi. Katika Maisha yangu yote mpaka sasa naelekea kuwa mzee sijaona kitu cha bure, kupata pesa lazima ufanye kazi, kama umeona kuna mtu kapata pesa ya bure bure basi hiyo pesa hata dumu nayo kwa muda au itamletea matatizo makubwa sana ndani ya muda mfupi.
UNATAKA MAFANIKO=FANYA KAZI ANGALAU MASAA KUMI KILA SIKU ,NA KUHAKIKISHIA ASILIMIA 95 LAZIMA UTAFANIKIWA
0 comments:
Post a Comment