Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, mleta picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa ndani ya harusi hiyo, habari zaidi zinakuja stay tuned!!



0 comments:

Post a Comment

 
Top
Blogger Template