AMBER ROSE MKE WA MSANII WIZI KHALIFA ALETA KIZAA ZAA MTANDAONI NA KIVAZI CHAKE MATATA SANA Mrembo Amber ambae amejifungua mtoto anaeitwa Sebastian mwaka uliopita amepost picha kuonesha bado ni mrembo na anavutia akiwa na rafiki zake wakielekea kupata lunch jana Unasemaje kuhusu mionekano wake..
0 comments:
Post a Comment