Akiwa katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju wazuri na ndiyo wanaingoza kwa uvutaji bangi kuliko wakiume. Batuli alisema kuwa wasanii wengi wakike wamekuwa wakitumia sana kilevu hicho cha marijuana ama ganga hasa wanapokuwa katika magari yao, nyumbani, wakiwa location na hata wengine hujiiba kwa kujificha katika sehemu zisizoonekana lakini harufu ya mmea hui huwaumbua pindi wanaporejea "wanawake ndiyo nimekuwa nikiwashuhudia sana kwasababu mara nyingi nimekuwa nikitembelea katika vyumba vyao wanavuta sana BANGI hata muda mwingine utawakuta wamejufungia katika magari wakivuta. Wengine hujitahidi kujificha lakini harufu ndiyo huwa inawaumbua mara nyingi." alisema Batuli.

0 comments:

Post a Comment

 
Top
Blogger Template