UKARIBU WA DIAMOND PLATNUMZ NA DJ FETTY MTAANI WAGEUKA MAJANGA, SOMA ZAID HAPA
Hot in town is concerning the relationship waliokuwa nao between dj fetty na diamond the platnumz,
Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi ambacho wamekuwa wakipost kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara picha za pamoja,
But blog yenu imejaribu kuzisaka news na nakugundua ya kwamba the guys walikuwa nchini nigeria kwenye tour na project ya kutengeneza the new track kwa superstars wa africa akiwemo dbanj, fally ipupa na bongo tukiwakilishwa vyema na diamond , na tour yenyewe ilikuwa ni ya kuimba nyimbo ambayo itawahamasisha vijana wajihusishe kwenye kilimo
0 comments:
Post a Comment