Kijana Huyo ambaye ndiye alikuwa akiendesha bodaboda ndipo alipopata Ajali mbaya iliyompelekea Kuvunjika Mguu wa Kushoto.
Muendesha Bodaboda Aliyejeruhiwa Vibaya katika Ajali hiyo akipakiwa katika gari kupelekwa Hospitali kwa Matibabu.
Ajali zinazowahusisha waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda zimeendelea kutawala manispaa ya Morogoro ambapo Gari Dogo Limegongana na MuendeshaBodaboda .Ajali hiyo imetokea katikati ya Manispaa ya Morogoro ambapo Muendesha Boda boda Alijeruhiwa vibaya.
Wasamaria wema wakiwa eneo la tukio kutoa msaada mara baada ya ajali hiyo kutokea mapema leo.
Gari lililogongana uso kwa uso na boda boda huyo
0 comments:
Post a Comment