BASI LA SMART LAPATA AJALI NA KUUA WAWILI LEO Basi hilo lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Mombasa nchini Kenya liliacha njia na kupinduka na kusababisha Vifo vya watu wawili pamoja na kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20.
0 comments:
Post a Comment