NINA MWAKA SASA SINA HISIA ZA MAPENZI KABISA KWA MPENZI WANGU Tangia mpenzi wangu aondoke ni mwaka sasa, lakini nashangaa kwa muda wote huo nimekuwa sina kabisa hisia za kimapenzi , yani hata mwanamke awe mzuri aje akipita mbele yangu naona kawaida kabisa.
0 comments:
Post a Comment